Haki za binadamu zinatumika kupima ustaarabu wa jamii husika kwenye kujali na kuheshimu misingi ya utu na utawala. Kwa misingi hiyo Umoja wa Mataifa uliamua kwa makusudi kuja na azimio la kimataifa ...
Mashirika ya kutetea haki za binadamu Human Rights Watch na Amnesty International yamesema kwamba mamlaka za Niger zimewakamata kiholela makumi ya maafisa wa serikali iliyoondolewa madarakani.
Binadamu pekee aliye hai, ambaye inatambuliwa kwamba alizaliwa katika karne ya kumi na tisa, leo anasherehekea sikukuu yake ya 117 tangu kuzaliwa kwake. Emma Morano, alizaliwa katika jimbo la Piedmont ...
(Nairobi) – Viongozi wa Afrika walishindwa kukabili dhuluma zilizofanywa na vyombo vya serikali na makundi yaliyojihami dhidi ya raia huku sera na mipango yao ikikosa kutoa nafasi ya kushughulikia ...
Mazungumzo ya ngazi ya juu yaliyofanyika kati ya maafisa wa Umoja wa Ulaya na waziri wa mambo ya nje wa Uturuki Mevlut Cavusoglu hayakuzaa matunda katika juhudi za kupunguza mvutano uliopo kati ya ...