Narumbe Ekiru hupenda kutabasamu sana. Ukikutana naye utadhani ni mtu mwenye furaha tele maishani. lakini hali ni tofauti. Kutabasamu kwake huficha ukweli wa mambo yaliyomo ndani ya moyo wake. Chanzo ...
Unapokutana na Ciru Njuguna na Greg Twin mara ya kwanza, si rahisi kufikiria kwamba wanaweza kuwa wameoana na wanaishi kama mume na mke. Wawili hao wameachana umri kwa zaidi ya miaka 30. Mumewe Twin ...