Katika miaka ya 1980 na 1990, Wamisri wengi waliitazama tamthilia Raafat Al-Haggan, ambayo ilieleza maisha ya jasusi Mmisri aliyefanya kazi ndani ya Israel na kutuma taarifa kwa nchi yake, Misri.
Kijana mwenye miaka 24, raia wa Rwanda ambaye mama yake alibakwa wakati wa mauaji ya kimbari anaiambia BBC jinsi gani aliweza kubaini mazingira ya kuzaliwa kwake.Majina yao yalibadilishwa kwa sababu ...
Kila kukicha vijana wanazidi kuibuka na ubunifu katika sekta tofauti kwa kutumia teknolojia. Sauti Kitabu ni Programu mpya ambayo imeanzishwa, ikiwa ni jukwaa la simulizi za sauti kwa lugha ya ...
Katika kipindi cha Karibuni cha 02.03.2024 utasikia mchezo mpya wa kuigiza wa DW Kiswahili DW,"Kizazi cha Kidijitali" zaidi Sudi Mnette amezungumza na Grace Kabogo kuhusu mfululizo wa simulizi hizo.