Miili yetu ina matrilioni ya bakteria ambayo hatuwezi kuishi bila kuwa nayo idadi kubwa ya bakteria hao wakiishi zaidi katika matumbo yetu. Lakini je, tunaharibu kabisa sehemu hii muhimu ya mwili wetu ...
Pengine umesikia kuhusu microbiome - makundi ya bakteria na aina nyingine ndogo ndogo ya vidudu ambavyo huishi katika matumbo yetu. Imebainika kuwa bakteria hao wana virusi ambavyo vipo ndani na nje ...