Mgombea ubunge Uyole kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma(Chaumma),Ipyana Njiku akizungumza na mmoja wa wajasiriamali Soko la Uyole wakati akiomba kura na kuhamasisha kujitokeza kushiriki uchaguzi mkuu ...
Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.
Peter Elias ni mwandishi wa gazeti la Mwananchi mwenye shahada ya Sayansi ya Siasa na Utawala wa Umma (BA.PSPA) aliyoipata katika Chuo Kikuu cha Dodoma (Udom). Amepata pia mafunzo ya uandishi wa ...
Msemaji wa kampeni za Chama cha Wananchi (CUF) Lutalosa Yemba (kushoto) akiwatambulisha baadhi ya wagombea udiwani wa Manispaa ya Musoma kwenye mkutano wa kampeni mjini Musoma. Picha na Beldina ...
Mkuu wa Mkoa wa Mara, Kanali Evans Mtambi akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mbio za mwenge wa uhuru mkoani humo. Picha na Beldina Nyakeke Musoma. Zaidi ya miradi 68 ya maendeleo yenye thamani ...
Tabora. Jeshi la Polisi Mkoa wa Tabora linachunguza tukio la kupotea kwa mtoto mwenye umri wa miaka mitatu anayeishi na wazazi wake Kata ya Mpela, Manispaa ya Tabora. Akizungumza na Mwananchi kwa njia ...
Wajumbe kupitia UWT Wilaya ya Geita ,wakiwa kwenyw ukumbi wa Shule ya Sekondari Nyankumbu wakisubiri kupiga kura kuchagua madiwani viti maalum. Geita. Wajumbe 3,000 wa Umoja wa Wanawake wa Chama Cha ...
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Profesa Palamaganda Kabudi, akimkabidha moja ya vitendea kazi Mwenyekiti wa Bodi ya Ithibati ya waandishi wa habari, Tirdo Mhando wakati wa hafla ya ...
Dar es Salaam. Miaka 10 ya Kassim Majaliwa kama Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imekuwa ya kipekee machoni mwa Watanzania, kuanzia kwenye uteuzi wake hadi sasa anapoondoka katika ofisi ...
Dar/Mikoani. Makada wa CCM wamezidi kujitokeza kuchukua fomu katika majimbo mbalimbali nchini wakiomba ridhaa ya kukiwakilisha Chama cha Mapinduzi (CCM) kwenye Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 ...
Dar es Salaam. Mwandishi wa Gazeti la Mwananchi, Elizabeth Edward amesema taasisi za mikopo kwenye jamii zina faida na hasara zake. Amesema wakati benki zikisubiri wakopaji lakini watu wamekuwa ...
Vyama vya siasa nchini vimekuwa na mitazamo tofauti kuhusu aina na muundo wa muungano kati ya Tanganyika na Zanzibar uliozaa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania huku baadhi vikiunga mkono muungano uliopo ...