Senegal walitwaa ubingwa wa AFCON 2025 baada ya kuifunga Morocco 1-0 katika fainali iliyojaa drama mjini Rabat. Mchezo ...
Pedro amekutana na pongezi kutoka kwa mabosi wa Yanga juu ya kile anachofanya Depu kutokana na yeye kupendekeza usajili wake, lakini mwenyewe amewashtua vigogo hao akiwaambia kwa namna anavyomjua ...
MANCHESTER United bado inatafakari kuhusu hatma ya beki wao wa kimataifa wa England, Harry Maguire, mwenye umri wa miaka 32.
LIBASE Gueye, mechi yake ya kwanza Ligi Kuu Bara ndani ya Simba akicheza dhidi ya Mashujaa, amefanikiwa kufunga bao, huku ...
WASHAMBULIAJI, Eliuter Mpepo wa Singida Black Stars na Adam Uledi wa Transit Camp inayoshiriki Championship msimu huu, ...
"TUNAANZA Ligi na Pamba Jiji". Ni kauli ya Kipa wa Mbeya City, Beno Kakolanya akiwatuliza mashabiki wa timu hiyo kufuatia ...
ALIYEKUWA beki wa TRA United, Yassin Mustafa ameanza mazoezi na Coastal Union baada ya kusaini mkataba wa mwaka mmoja akiwa ...
AGOSTI mwaka jana, kinda wa Kitanzania, Sabri Kondo alijiunga na BK Hacken inayoshiriki Ligi Kuu ya Sweden akitokea Singida ...
WAKATI kesho Ijumaa Januari 30, 2026 dirisha dogo la usajili likitarajiwa kufungwa, Kocha wa Pamba Jiji, Francis Bara amesema ...
KOLABO katika muziki wa Bongo Fleva ni nyingi na kuna vichwa vikikutana kinachotokea ni mzuka tu. Lazima wakubalike kutokana ...
Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limetoa adhabu kali kwa vitendo vya utovu wa nidhamu vilivyoonyeshwa katika mechi ...
Saa chache baada ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), kuufungia Uwanja wa KMC Complex, sababu mbili zimetajwa kusababisha ...