BAADA ya ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Kagera Sugar, Kocha Mkuu wa Yanga, Sead Ramovic, amekisifu kikosi chake, akisema sasa kimekuwa moto wa kuotea mbali, akikiri kuwa kimebadilika na kucheza lile ...