Mwanamuziki nyota wa Tanzania Nasibu Abdul maarufu kama Diamond Platnumz,ameweka bayana leo ukweli kuhusu baba yake mzazi.