Dar es Salaam. Tundu Lissu, mshtakiwa katika kesi ya uhaini amechuana kwa maswali na shahidi wa kwanza wa Jamhuri, mchuano uliodumu kwa takribani saa sita. Lissu, ambaye ni Mwenyekiti wa Chama cha ...
Mbeya. Mwili wa aliyekuwa mwanafunzi wa Chuo Kikuu Mzumbe, Ndaki ya Mbeya, Shyrose Mabula, aliyeuawa kikatili kisha kuchomwa moto, umezikwa, huku waombolezaji wakipaza sauti kukemea tukio hilo, ...
Rais Mstaafu Dk Mohamed Shein akimkabidhi ilani mgombea wa CCM, Dk Hussein Mwinyi wakati wa uzinduzi wa kampeni za chama hicho katika viwanja vya Mnazimmoja Unguja Zanzibar Unguja. Rais mstaafu wa ...
Dar es Salaam. Januari mosi, 1974, ilikuwa Jumanne. Ulimwengu ulipokea taarifa za mafanikio ya kisayansi baada ya chombo cha kiroboti kinachoitwa Mariner 10 kuwasili kwenye sayari ya Zebaki (Mercury), ...
Dar es Salaam. Mahakama Kuu ya Tanzania sasa iko tayari kuanza usikilizaji wa kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, baada ya kuipangia ...
Dar es Salaam. Shauri la utata wa uteuzi wa mgombea urais wa chama cha ACT-Wazalendo katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 limetajwa mahakamani kwa mara ya kwanza, huku Mahakama ikisema haitasita ...
Unguja. Mchakato wa kura za maoni ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM), huenda ukawatenganisha mawaziri na naibu mawaziri kadhaa na nafasi za uwakilishi katika baraza lijalo la wawakilishi. Hilo ...
Arusha. Neema Mwakalukwa (33), mkazi wa Muriet jijini Arusha amekutwa amefia ndani ya chumba cha nyumba ya kulala wageni. Mwili wa Neema aliyekuwa mhudumu wa baa ulikutwa ndani ya chumba hicho jana ...
Morogoro. Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (Sua) kimeanzisha programu sita za shahada za kufundishia walimu masomo ya amali wa shule za sekondari nchini. Lengo walimu hao watakapohitimu wawe na ujuzi ...
Tabora. Jeshi la Polisi Mkoa wa Tabora linachunguza tukio la kupotea kwa mtoto mwenye umri wa miaka mitatu anayeishi na wazazi wake Kata ya Mpela, Manispaa ya Tabora. Akizungumza na Mwananchi kwa njia ...
Tanga. Miili ya watu wanne ikiwemo wanaume watatu na mwanamke mmoja imeokotwa ikiwa imetupwa katika vichaka maeneo tofauti ya Wilaya ya Handeni mkoani Tanga. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Almachius ...
Dar es Salaam. Jeshi la Polisi mkoani Tabora linawashikilia watu watano kwa tuhuma za kuhusika na mauaji ya Castory Madembwe, mtumishi wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (Tasaf), mkazi wa Ipuli.
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results