Dar es Salaam. Tundu Lissu, mshtakiwa katika kesi ya uhaini amechuana kwa maswali na shahidi wa kwanza wa Jamhuri, mchuano uliodumu kwa takribani saa sita. Lissu, ambaye ni Mwenyekiti wa Chama cha ...
Mkurugenzi wa Biashara wa Pass Trust Adam Kamanda, akizungumza kwenye maadhimisho ya miaka 25 ya kuanzishwa kwa taasisi hio inayojihusisha na masuala ya kilimo leo Octoba 13, 2025 kwenye kituo cha ...
Mgombea ubunge Uyole kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma(Chaumma),Ipyana Njiku akizungumza na mmoja wa wajasiriamali Soko la Uyole wakati akiomba kura na kuhamasisha kujitokeza kushiriki uchaguzi mkuu ...
Arusha. Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki (Eala) limeridhia azimio la kulitaka Baraza la Mawaziri na nchi wanachama wa Jumuiya hiyo kuharakisha mchakato wa kuwa na bima ya afya kwa wote, ili kuwa ...
Raia mmoja wa Tunisia, Saber Chouchane (56), amehukumiwa adhabu ya kifo kwa kosa la kuchapisha kwenye mtandao wa Facebook, maneno yanayodaiwa kumkashifu Rais Kais Saied na kudhalilisha vyombo vya ...
Dar es Salaam. Baada ya Serikali ya Marekani kuiweka Tanzania miongoni mwa nchi ambazo raia wake hupaswa kufuata utaratibu wa dhamana ya viza kuingia nchini humo, Serikali imesema itaendelea na ...
Dar es Salaam. Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI), Dk Peter Kisenge ameongoza jopo la wataalamu wa moyo kutoka Tanzania, kwa ajili ya kutoa huduma za kibingwa za matibabu ya ...