Mbeya. Mwili wa aliyekuwa mwanafunzi wa Chuo Kikuu Mzumbe, Ndaki ya Mbeya, Shyrose Mabula, aliyeuawa kikatili kisha kuchomwa moto, umezikwa, huku waombolezaji wakipaza sauti kukemea tukio hilo, ...
Miraji akimfariji mke wa marehemu Sophia Kaggi wakati wa ibada ya kuaga miili hiyo mitano katika kanisa la KKKT Mikanjuni Tanga Septemba 17, 2025. Picha na Rajabu Athumani Tanga. "Katika mazingira ya ...
Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, ameigomea Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam kuendelea na usikilizwaji wa kesi ya uhaini inayomkabili, ...
Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu amerusha karata nyingine katika harakati za kujiondoa kwenye kesi ya uhaini inayomkabili, baada ya kupinga hati ...
Rais Mstaafu Dk Mohamed Shein akimkabidhi ilani mgombea wa CCM, Dk Hussein Mwinyi wakati wa uzinduzi wa kampeni za chama hicho katika viwanja vya Mnazimmoja Unguja Zanzibar Unguja. Rais mstaafu wa ...
Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu ameibuka na mapya akiilalamikia Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, pamoja na mambo mengine kwa kutokuorodhesha ...
Dar es Salaam. Mahakama Kuu Masjala Kuu Dodoma leo Jumatatu, Septemba 8, 2025 inahitimisha usikilizaji shauri la kuenguliwa kwa mgombea urais aliyeteuliwa na Chama cha ACT-Wazalendo kupeperusha ...
Dar es Salaam. Mahakama Kuu ya Tanzania sasa iko tayari kuanza usikilizaji wa kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, baada ya kuipangia ...
Msemaji wa kampeni za Chama cha Wananchi (CUF) Lutalosa Yemba (kushoto) akiwatambulisha baadhi ya wagombea udiwani wa Manispaa ya Musoma kwenye mkutano wa kampeni mjini Musoma. Picha na Beldina ...
Dar es Salaam. Shauri la utata wa uteuzi wa mgombea urais wa chama cha ACT-Wazalendo katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 limetajwa mahakamani kwa mara ya kwanza, huku Mahakama ikisema haitasita ...
Dar es Salaam. Shirika la Reli Tanzania linatarajia kuajiri wafanyakazi 2,460 katika mradi wa Reli ya Kiwango cha Kimataifa (SGR) kwa vipande viwili vya kutoka Dar es Salaam mpaka Makutopora, Dodoma.
Vyama vya siasa nchini vimekuwa na mitazamo tofauti kuhusu aina na muundo wa muungano kati ya Tanganyika na Zanzibar uliozaa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania huku baadhi vikiunga mkono muungano uliopo ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results