KAMATI ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) katika kikao chake cha Oktoba 27, 2025, ...
WALE TRA United ni kama wako siriazi sana na kama hufahamu ni kwamba wako kwenye hatua za mwisho kumrudisha nchini bosi ...
Kenya Police FC, ina imani kwamba Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) litatoa uamuzi mzuri kwao baada ya kuwasilisha ...
“Tulieni, rekodi ya dunia inakuja.” Huo ndio ulikuwa ujumbe wa mwanariadha anayeshikilia rekodi ya dunia ya mbio za kilomita 10, Agnes Ng’etich, kwa Wakenya baada ya kukosa kuvunja rekodi ...
Timu ya Taifa ya Soka Wanawake ya Kenya, Harambee Starlets, imefuzu michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Wanawake ...
WALE TRA United ni kama wako siriazi sana na kama hufahamu ni kwamba wako kwenye hatua za mwisho kumrudisha nchini bosi ...
UONGOZI wa TRA United upo katika hatua za mwisho kukamilisha mchakato wa kupata kocha mkuu wa kuinoa timu hiyo ambapo kwenye mchujo yamebaki majina mawili tu.
WALE TRA United ni kama wako siriazi sana na kama hufahamu ni kwamba wako kwenye hatua za mwisho kumrudisha nchini bosi ...
KOCHA Mkuu wa Pamba Jiji, Francis Baraza amesema wana kazi kubwa ya kufanya kukabiliana na Singida Black Stars ambayo ameitaja kuwa ni timu tishio kutokana na kutofungwa mechi yoyote msimu huu.
TIMU ya Taifa ya Wanawake, Twiga Stars imefuzu kwa mara ya tatu fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (WAFCON) baada ya kuifunga Ethiopia kwa jumla ya mabao 3-0, baada ya kushinda bao 1-0 ugenini.
BAADHI ya wanamuziki wakongwe wa Bongo Fleva, wameizungumzia mitandao ya kijamii namna inavyorahisisha kazi zao kuwafikia kwa ...
KAMA kuna mambo ya kushangaza, basi huja pale unapoambiwa jambo ambalo wala hukufikiria kwamba lingeweza kuwa vile ambavyo ...